Mudi_kidato
Senior Member
- Sep 6, 2019
- 146
- 184
Kumbe kuna watanzania Bado wanasajili na kutumia line za Halotel?
Walianza vyema mwanzoni Miaka ile ya 2015-2016 walikua na huduma nzuri hasa Internet upande wa vijijini.
Wakalewa Sifa na kuzidiwa na wateja wakawa kama makampuni mengine, wengi tukawaacha. Sasa Nina miaka zaidi ya 5 situmii huduma za Halotel
Tuje kwenye mada yako, Kama mkataba unasema hayo umeelezea, basi waburuzeni Kortini.
mna mkataba?HABARI wana jf kupitia umoja wa frilenca dar zone ya kinondoni nimekuja hapa kuomba msaada wa kisheria kuhusu kampuni ya halotel viettel plc hii kampuni tunaifanyia kazi ya kusajili line zasimu na ilikuwa tunapata mshahara kupitia camishion tena kwa % ukisajili mteja unapata %60 yamatumizi ya mteja mean mteja kwa mwezi akitumia elf 10 yako elf 6 sasa tumepambana vijana hadi camishion ikafika lak5 wemgine lak7 chakushangaza tumelipwa hela isio lizisha na kazi tumefanya yaani umesajili lain 50+ baafa mshahara upande eti unakatwa la2 au lak3 nzima niko hapa kuomba msaada tutumie njia gani malalamiko yetu yafike sehemu usika kama hujaelewa unaweza uliza
[emoji3][emoji16]Kumbe kuna watanzania Bado wanasajili na kutumia line za Halotel?
Walianza vyema mwanzoni Miaka ile ya 2015-2016 walikua na huduma nzuri hasa Internet upande wa vijijini.
Wakalewa Sifa na kuzidiwa na wateja wakawa kama makampuni mengine, wengi tukawaacha. Sasa Nina miaka zaidi ya 5 situmii huduma za Halotel
Tuje kwenye mada yako, Kama mkataba unasema hayo umeelezea, basi waburuzeni Kortini.
Ndio boss kuna kazi bila mkataba?mna mkataba?
Binafsi Mimi Ni mteja kindakindaki wa halotel.Kumbe kuna watanzania Bado wanasajili na kutumia line za Halotel?
Walianza vyema mwanzoni Miaka ile ya 2015-2016 walikua na huduma nzuri hasa Internet upande wa vijijini.
Wakalewa Sifa na kuzidiwa na wateja wakawa kama makampuni mengine, wengi tukawaacha. Sasa Nina miaka zaidi ya 5 situmii huduma za Halotel
Tuje kwenye mada yako, Kama mkataba unasema hayo umeelezea, basi waburuzeni Kortini.
kwahiyo tunaulizana maswali sasaNdio boss kuna kazi bila mkataba?
Mkataba upokwahiyo tunaulizana maswali sasa
Ah ndo hvyo hawatutendei haki wafanyakazi wake alafu bado watu wanalalamika mawakala wezi kumbe tatizo linaanzia huko ndaniBinafsi Mimi Ni mteja kindakindaki wa halotel.
Nilikua na ndugu yangu anafanya kazi hapo. Naskia mishahara ya hao jamaa ni kama ya housegirl[emoji23][emoji23]