Mlianza vizuri sasa munamaliza vibaya!! Niliipenda Halotel kwasababu ya internet yenye nguvu, lakini wiki hii ni ya pili hapa Vwawa, internet ya Halotel haina nguvu kabisa hata kuandika ujumbe huu kuifungua jamii forum haina uwezo, nimetumia Vodacom!!! Makapuni ya simu yanapendwa sana kama internet iko strong!! Kwa mwendo huu wa Halotel sijui niiache kutumia????
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app