Azathioprine
JF-Expert Member
- Sep 16, 2013
- 588
- 379
4G ya tigo iko vizuri sana na ni affordable..kama unataka kushusha movies subiri saa 5 usiku wakikupa zile GB 15...connect Mobile Hotspot na wireless ya PC...unapata speed ya 4G kwnye computer..utadownload mpaka download yenyewe iseme download download!
Hahaha. Khaaaa eti download download. 😄😄😄😄
mkuu vocha huku zipo za kumwaga, kweli ina kasi sanaLeo niliamua ninunue laini ya hawa jamaa nijaribu ubora wao kwenye internet kusema kweli wamekidhi vigezo sijawahi fikia speed hii kwenye modemu, shida vocha zao tu zinasumbua mpaka urushiwe.
nimeshindwa ku updload picha sababu ya matatizo ya jamii forums ila speed ni above 4.76Mbps ambayo sijawahi ipata kabisa kwa mitandao mingine.
NB: nimedownload movie ya the battle of stanligrad 386MB kwa dakika 7 tu.
Ni kweli halotel wameanza vizuri kwa internet speed yake si mchezo.
Kwa hiyo ni lazima uwe na simu ya 4G ndipo upate spidi nzuri ya tigo au hata kwenye 3G?
Hata Voda, Airtel na tiGo ukijiunga na vile vifurushi vya 5GB kwa elfu ishirini na tano (25,000) unapewa speed kubwa sana.
Wewe maliza hizo GB/MB za bure ulizopewa halafu uanze kujiunga na kifurushi cha unlimited kwa elfu moja (1,000) kwa siku then ulete feedback.
Nchi hii ukitaka kupata speed nzuri unatakiwa usiwe na mtandao unaoupenda, kuwa na line zote 6 then kila baada ya kipindi fulani test mtandao upi unakupa speed nzuri.
Eneo ambalo tigo hawana watu wengi unapata speed nzuri tu kwa 3g ambayo inaweza fanana hata na wa 4g
Inawezekana mkuu. Ngoja tusubiri mtandao upate wateja wa kutosha tuone kama watazidiwa ama la. Ila mimi sidhani kama watakuja kuzidiwa kwa sababu hawa jamaa wamefunga 3g minara yao yote. Tofautisha na VODA AU TIGO ambao sehemu kubwa hata hiyo 3g hawana.
hawa jamaa wako vizuri ila kwenye vocha wajipange maana ni mateso
Hata Voda, Airtel na tiGo ukijiunga na vile vifurushi vya 5GB kwa elfu ishirini na tano (25,000) unapewa speed kubwa sana.
Wewe maliza hizo GB/MB za bure ulizopewa halafu uanze kujiunga na kifurushi cha unlimited kwa elfu moja (1,000) kwa siku then ulete feedback.
Yes wana speed ila hawajafika hapa kwa tiGO, kwenye hii picha hapa chini ni speed ninayopata kwenye dashboard na chini yake ni torrent downloder Bitcomet.
Badae ikapanda mpaka 12.85 Mbps
4G ya tigo iko vizuri sana na ni affordable..kama unataka kushusha movies subiri saa 5 usiku wakikupa zile GB 15...connect Mobile Hotspot na wireless ya PC...unapata speed ya 4G kwnye computer..utadownload mpaka download yenyewe iseme download download!
4G ya tigo inapatikana kila mahal dsm kwa sasa? nilikua sijanunua line yao mda wanaanza maana uswahilini kwetu ilikua bado haijafika coverage yake!
Utakuwa hujamuelewa jamaa anamaanisha nini.
Inawezekana mkuu. Ngoja tusubiri mtandao upate wateja wa kutosha tuone kama watazidiwa ama la. Ila mimi sidhani kama watakuja kuzidiwa kwa sababu hawa jamaa wamefunga 3g minara yao yote. Tofautisha na VODA AU TIGO ambao sehemu kubwa hata hiyo 3g hawana.
hapa kwangu nikiwa bush ni E hadi niwe mjini ndo nipate hyo 3G, kwa hiyo badoooooo ila wajikongoja