Halotel Modem 3G(new) for Sale

TechWarlock

Member
Joined
Sep 9, 2014
Posts
37
Reaction score
11
Habari zenu Wakuu,
Ninauza modem ya halotel 3G bado mpya kwa Tsh 20,000/- (ingawa inauzwa Tsh 30,000/- dukani), sababu kuu ni kuwa nimenunua simu yenye uwezo wa 4G ambayo naitumia sana kwa sasa kwa mahitaji ya internet, nipo Dar es salaam na itapendeza kama nawe utakua Dar kwa urahisi wa biashara. Nimeweka picha hapo chini ya hiyo modem.
Karibuni sana!
 

Attachments

  • 20181124_154744.jpg
    95.5 KB · Views: 56
Sawa mkuu tumejua una miliki Icore 7 7gen najua ndo lengo lako hilo tujue, vp hdd ni TB10?? mbona hujatuonyesha pia
 
Mkuu hii lugha gani uliyotumia hapa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…