Halotel kwa Sasa haifai kabisa

Nilishaitupa laini yao siku nyingi uzuri laini ya simu sio baba ya ngu wala mama yangu, wakileta za kuleta tunalala mbele tunatafuta ni kampuni gani yenye promotion tunakimbilia huko siwezi kununua mb 200 kwa buku huku spidi ni ya kinyonga
 
Mtandao upo sawa sema MB wamepenguza sana au ni hizi faini wanazopigwa wanazihamishia kwenye MB

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Nikiwa kama muanzilishi na mbunifu Mkuu wa neno langu pendwa la ' POPOMA ' humu JF nasikitika sana kuona bado unalitumia kama ID yako japo kuna siku nilishakuambia maana halisi ya neno POPOMA. Muwe mnauliza kwanza maana ya hayo maneno kwa waliyoyaleta kuliko ' kukurupuka ' na kuyatumia.

Haya bhana kila la kheri POPOMA.
 
Halotel speed imepungua ukilinganisha na zamani ila ni bora kuliko mitandao mingine ya 3G kama vile Tigo na Airtel.
 
Yote yanafanana lakini kuna wizi unafanyika, MB zinasagika kwa speed ya rocket, aidha wanadanganya kukupa MB 300 kumbe wanakupa 140 tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halotel acheni kupunguza MB kila kukicha,

sent from my jamii forums app iphone 7+
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…