Sio kweli. Itakuwa simu yako kimeo nduguRejea kichwa cha hbr hapo juu,yaani Huu mtandao wa Halotel kwa Sasa haufai kabisa,uko slow hata mwend wa kinyonga mkubwa mwanzo walianza kwa mbwembwe,ila Sasa wamelewa sifa basi ndio shida kabisa, kama hawata jirekebisha watapoteza wateja,
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kweli. Itakuwa simu yako kimeo ndugu
Naunga mkono hojaSio kweli. Itakuwa simu yako kimeo ndugu
Nilijua kwangu tu labda simu imechokaVodacom nao wameanza tabia ya kuwa slow