Zemanda
JF-Expert Member
- Jan 10, 2021
- 10,664
- 22,845
Habari wandugu!
Tokea jana naona app ya halotel inanikatalia kufanya kazi. Nikiingia nakutana na ujumbe unaonambia ni update app yangu. Nikienda play store nakuta hakuna updates zozote yaani app inaniambia "Open" meaning hakuna option ya ku update.
Nimengia katika mfumo wa kawaida wa *150*88# nao unanijibu "system busy" au "connection error".
Nitaweka hapa screenshot ya ninachosema mjionee.
Hawa Halotel hebu mnambie wanashida gani ndugu zangu.