Halotel customer service

TUTUO

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2013
Posts
3,250
Reaction score
2,036
Enyi watu wa kampuni tajwa hapo juu, mmenifungia laini yangu bila sababu za msingi, napiga 100 nakutana na matangazo yenu ya kuwaambia ndugu zangu wajiunge na mtandao wenu, please tupeni option ya kuongea na muhudumu kama wafanyavyo wenzenu mara tunapohitaji msaada
 
Kama upo karibu na kituo cha halotel nenda tu hawana hiyo option

ya kuongea na mtoa huduma kwa wateja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…