Posho zipo lakini za kulenga kwa manati toafuti na taasisi nyingine.
Taasisi nyingine kila wiki unalamba posho ukitoka tu ofsini kwenda sehemu nyingine unalamba posho.
Posho za halmshauri inategemea na mapato ya ndani ya halmshauri mtu anaefanya kazi halmshauri ya jiji au manispaa huwezi mfananisha na wa halmshauri wilayani.