Halmashauri ya wilaya ya Newala chini ya UKAWA

Mzee Mchopu

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2014
Posts
1,031
Reaction score
268
Ukawaaaa, tumaini letu

Kwa mara ya kwanza tangu dunia iumbwe halmashauri ya wilaya ya Newala imepata mwenyekiti wa halmashauri toka UKAWA

Nasaha zangu: UKAWA mkatende yaliyotofauti na yale yalofanywa na CCM kwa miaka 50+

Sasa hapa ndo tujiulize, Je, Lowassa ni ASSET AU LIABILITY?
 
Ukawa wananipa sana raha,ccm mkajifunze siasa za kistarabu
 
Hadi sasa hivi ukawa tuna halmashauri ngapi?
 
Tunduma, arumeru mashariki na magharibi na babati mjini ni ukawa
 
Bila lowasa yasingewezekana?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…