tanzania digital
JF-Expert Member
- Jul 12, 2013
- 425
- 269
Msaada kwa wale waliofanya usahili katika halmashauri ya Mkuranga kwa kada ya Mtendaji wa Kijiji,je walishaita kwa ajili ya usahili wa pili (oral interview)?
Waungwana naomba kuuliza kama waliofanya oral interview nafasi za MEO halmashauri manispaa ya ubungo kama wameshaitwa kazini.Ndio tayar
BadoWaungwana naomba kuuliza kama waliofanya oral interview nafasi za MEO halmashauri manispaa ya ubungo kama wameshaitwa kazini.
Hyo sijasikiaWaungwana naomba kuuliza kama waliofanya oral interview nafasi za MEO halmashauri manispaa ya ubungo kama wameshaitwa kazini.