uber ni kampuni ambayo ni sawa na ebay ila iko kwenye usafirishaji.....ni kwamba ukiwa na gari binafsi unapakua hiyo app kutoka google playstore unajisajili kama dereva halafu app hiyo ya uber inakuunganisha na wateja watakaitaji usafiri kama TAX. Maelezo haya ni kwa ufupi tu.