Eliezar Mlwafu JF-Expert Member Joined Jan 27, 2013 Posts 449 Reaction score 140 Mar 12, 2019 #1 Nauliza njinsi ya kunujua nakuza fedha za kigeni, na faida yake na hasala kwa ujumla. Asanteni Sent using Jamii Forums mobile app
Nauliza njinsi ya kunujua nakuza fedha za kigeni, na faida yake na hasala kwa ujumla. Asanteni Sent using Jamii Forums mobile app
ISLETS JF-Expert Member Joined Dec 29, 2012 Posts 8,116 Reaction score 5,370 Mar 12, 2019 #2 Mkuu kwa mwandiko huo wewe achana tu na hiyo biashara, waza kitu kingine cha kufanya Eliezar Mlwafu said: Nauliza njinsi ya kunujua nakuza fedha za kigeni, na faida yake na hasala kwa ujumla. Asanteni Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kwa mwandiko huo wewe achana tu na hiyo biashara, waza kitu kingine cha kufanya Eliezar Mlwafu said: Nauliza njinsi ya kunujua nakuza fedha za kigeni, na faida yake na hasala kwa ujumla. Asanteni Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
PANTHERA LEO JF-Expert Member Joined Jan 25, 2019 Posts 2,307 Reaction score 3,447 Mar 12, 2019 #3 Hasara kubwa ni kama umekosa zile KKK, yaani (kusoma, kuandika na kuhesabu) jitaidi uwe na hizi kkk kwanza alafu upewe muongozo
Hasara kubwa ni kama umekosa zile KKK, yaani (kusoma, kuandika na kuhesabu) jitaidi uwe na hizi kkk kwanza alafu upewe muongozo
The Guitarist JF-Expert Member Joined Jul 18, 2015 Posts 3,607 Reaction score 5,377 Mar 12, 2019 #4 Matokeo ya mfumo wa elimu kuchezewa
KijanaHuru JF-Expert Member Joined Jan 7, 2017 Posts 1,822 Reaction score 2,332 Mar 12, 2019 #5 Ha ha ha ha ha Ukiambiwa Ukasome Forex na ukosefu wa KKK utakuwa unaambiwa kavamie ikulu ya marekan mkuu nenda nyumbani ukalime utapata faida
Ha ha ha ha ha Ukiambiwa Ukasome Forex na ukosefu wa KKK utakuwa unaambiwa kavamie ikulu ya marekan mkuu nenda nyumbani ukalime utapata faida
kabugira JF-Expert Member Joined May 14, 2014 Posts 1,186 Reaction score 665 Mar 12, 2019 #6 Hallow ndiyo nini? kutoka: 22D Arnold st.