mikumi kwa Jay.Baada ya kutafakari na uzoefu wangu katika masuala ya habari na siasa nimegundua halmashauri zitakazoongozwa na UKAWA kuwa ni
N.K kwa mwingine anayeona zinaweza ongezeka
- Arusha
- Mbeya
- Iringa
- Moshi
- Karatu
- Monduli
- Mwanza
- Nyamagan
- Kindondoni
- Singida Mashariki
- Kahama
- Nzega
- Bunda
musoma
Tarime
geita.
swissme
Kwa hiyo CCM haiwezi kushinda bila usalama wa taifa na wizi wa kura?.Kama inaweza kwa nini unatoa angalizo? unless otherwise tusubiri oktoba.Mzee kingunge alishawahi kusema ushindi ni lazima sasa sijui ndio goli la mkono au?.Baadae mtakuja kulalamika JF Usalama wa Taifa wameiba kura.
Hayo ndiyo malalamiko yenu haukumbuki rais wenu wa miyoni Dr.Slaa alivyokuwa analalamika kura zake za urais ziliibiwa na usalama wa taifa.Kwa hiyo CCM haiwezi kushinda bila usalama wa taifa na wizi wa kura?.Kama inaweza kwa nini unatoa angalizo? unless otherwise tusubiri oktoba.Mzee kingunge alishawahi kusema ushindi ni lazima sasa sijui ndio goli la mkono au?.
Hayo ndiyo malalamiko yenu haukumbuki rais wenu wa miyoni Dr.Slaa alivyokuwa analalamika kura zake za urais ziliibiwa na usalama wa taifa.