Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,903
Niweke rekodi sawa ndugu zangu,sijatumia lugha isiyoruhusiwa au kumsemea vibaya Mhe.Ndugai ..nilimwambia KIGWANGALA. Mchukue muda kuiangalia clip vizuri! Mhe.Spika namheshimu sana...nikiwa kama mtu mzima kuna jambo unalifanya ukiwa na hasira ,kisha unatambua uliteleZa!!Na tunasema kuteleza sababu ukiwa KIONGOZI unatarajiwa kuwa na roho NGUMU ..unatarajiwa hata ukiwekewa bastola KICHWANI utabasamu tu!! Ndio maana pamoja na sakata la juzi la kuporwa haki yetu kama kiongozi unalazimika kuomba radhi. Namheshimu MCH.GWAJIMA na mawazo yake. Ila sio kila jambo linafanywa kwa kupiga mayowe ...alichokisema leo kilishafanyika mapema sana..hata kama asingesema. Ila Namshukuru kwa kujali na kunishauri kupitia mahubiri yake leo.