mdee awe makini sana. babu slaa anamuandaa jesephine kugombea kawe mwaka 2015. huyu mama anampeleka slaa puta. hata jana niliona kwenye kongamano akimuamrisha slaa kupiga makofi. mdee linda jimbo lako usikubali kuendeshwa na padre mwenye uchu......
Sema Dr slaa, najua huyu dr ni mwiba sana kwa maccm,sasa unaita babu kakwambia ye ni babu? Haaaaaaah haaaaaaah na 2015 tutawachoma tu,hata mkazane vp? Kila mtu aliye ccm ana asili ya uchawi
Sema Dr slaa, najua huyu dr ni mwiba sana kwa maccm,sasa unaita babu kakwambia ye ni babu? Haaaaaaah haaaaaaah na 2015 tutawachoma tu,hata mkazane vp? Kila mtu aliye ccm ana asili ya uchawi
cyo wa hvy mm buku 7 kitu gani? tatizo wana cdm huwa hamuonyeshi nn cha kufanya zaidi ya kulalamika, nani awape nchi viongozi ambao sera yao ni kulalama?
kiukweli nampongeza dada Halima, lakini vita hii ya kuuziwa/kubinafsisha ardhi yetu inabidi tupigane wote kiume.............la sivyo tutajikuta hatuna chetu.
cyo wa hvy mm buku 7 kitu gani? tatizo wana cdm huwa hamuonyeshi nn cha kufanya zaidi ya kulalamika, nani awape nchi viongozi ambao sera yao ni kulalama?
Tutaonyesha cha kufanya tutakapochukua nchi. sasa hivi ni kufichua mabaya tu kwani tukisema tutafanya nini hamuchelewi kudandia kama mlivyodandia issue ya katiba mpya.