Hali ya office mbalimbali ikoje leo?

Al-shabaab

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2013
Posts
1,791
Reaction score
620
Wiki ilopita tulishuhudia ziara ya ghafla ya mheshimiwa Rais JPM wizara ya fedha na kushuhudia wafanyakazi wengi wakiwa off kwa lunch vp hali ya huduma jumatatu ya leo katika maofisi mbalimbali?
 
Wiki ilopita tulishuhudia ziara ya ghafla ya mheshimiwa Rais JPM wizara ya fedha na kushuhudia wafanyakazi wengi wakiwa off kwa lunch vp hali ya huduma jumatatu ya leo katika maofisi mbalimbali?

Yaani leo huduma ni super mimi nipo Uhamiaji mpaka anapita afisa wa uhamiaji akitaka kujua kama umehudumiwa!!! Magu kiboko.... Waendelea kufanyakazi kwa mtindo huu nchi itapata maendeleo!!
 
Yaani leo huduma ni super mimi nipo Uhamiaji mpaka anapita afisa wa uhamiaji akitaka kujua kama umehudumiwa!!! Magu kiboko.... Waendelea kufanyakazi kwa mtindo huu nchi itapata maendeleo!!

hongera mkuu kama mambo yamechange
 
Wiki ilopita tulishuhudia ziara ya ghafla ya mheshimiwa Rais JPM wizara ya fedha na kushuhudia wafanyakazi wengi wakiwa off kwa lunch vp hali ya huduma jumatatu ya leo katika maofisi mbalimbali?

Chai Haijanywekwa Wala Chakula Hakijalika Na Hakiliki Mpaka Sasa Hivi Kwani MUKULU JPM Anakuambia Yeye Muda Wowote Ule Anatimba Ofisini Sasa Ole Wako Akukute Ktk Lifti Unapiga MAJUNGU Halafu Ofisini Haupo. Sasa Hivi SEKTA Binafsi Zikitoa Tu Nafasi Za AJIRA Tutajazana Mno Kwani Kuna Ambao Nawaona Kabisa KASI Ya BUNDESLIGA Ya Rais Dr. MAGUFULI Hawaiwezi Na Hawataiweza Ng'o!
 
Tumuombe Mungu hizi ziara za ghafla isiwe danganya toto!
 

na huko secta binafsi amekaba alikuwa akhakhan hospital leo.
 
na huko secta binafsi amekaba alikuwa akhakhan hospital leo.

Mkuu hiyo hospitali iko wapi ..? au inapatikana Nanjilinji....??

Mie najua kuwa leo mkulu wa kaya alienda Aga khan Hospital kumtembelea
na kumjulia hali mama Kijo Bi Simba...
 

Kama umeshindwa serikalini sector binafsi utaiweza wapi labda ujiajiri mwemyewe.

Private company wanafanya kazi kwa target tofauti na huko mnakofanya kazi kwa mazoea.
 

Hakuna pa kukimbilia asee. Private boss yupo benet 24/7. Bora tu ukalime mchicha
 
Nafikiri wakati umefika sasa kufanya kazi kwa Target km mashirika binafsi.
 

haha BUNDESLIGA
 
Leo asubuhi foleni ilikuwa kalisana huku magari ya serekali yakitafuta kupenya yawahi kazini.Sasa hii iwe endelevu
 
Aendee na bandari huko ndiko kwenyewe
 

Toa uharo wako hapa .
 
Aendee na bandari huko ndiko kwenyewe

Huko ni balaa! Kuna ufuska wa hali ya juu. Wizi uliopindukia kuanzia mali mpaka madili. Aweke mtu makini sana na ale nao sahani moja, huku ile elimu ya bure na uendeshaji wa huduma zingine kuna mchango mkubwa sana kama kutabanwa fresh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…