kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 16,247
- 16,169
Kuna wakati najifungia mwenyewe chumbani nikitafakari ninapowasikia baadhi ya watanzania wenzangu wakisema hali ya kisiasa Sasa ni mbaya sana. Najiuliza ni mbaya kuanzia lini? Ni mbaya kuliko awamu ipi? Kwani awamu hii Kuna nini kibaya kimefanywa kuliko awamu ya Tano, nne, pili na kwanza?
Nikagundua yafuatayo:
Nikagundua yafuatayo: