Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 47,543 Reaction score 101,672 Jun 8, 2016 #1 Basi Sawa....
July Fourth JF-Expert Member Joined May 2, 2012 Posts 2,240 Reaction score 795 Jun 8, 2016 #2 duh!! tanzania eeh.. nchi yanguuuu!!!
Cognitivist JF-Expert Member Joined Aug 7, 2011 Posts 1,057 Reaction score 2,100 Jun 8, 2016 #4 Hahahaaaaaaa utabiri wa mwendo kasi
nzalendo Platinum Member Joined May 26, 2009 Posts 13,091 Reaction score 15,208 Jun 8, 2016 #5 Kwenye mchanganyiko wa masaa ya mwanza tulitafuta wastani tukapata. Sasa hapa tufanyeje
MUSSA ALLAN JF-Expert Member Joined Oct 13, 2013 Posts 18,925 Reaction score 13,280 Jun 8, 2016 #6 Aisee...! Nami natabiri kutakuwa na hotuba ya bajeti leo saa kumi jioni.
U UKAWA2 JF-Expert Member Joined Apr 22, 2014 Posts 2,182 Reaction score 1,972 Jun 8, 2016 #7 Daaa!! hii nchi mbona inakatisha tamaa kiasi hiki?
U UKAWA2 JF-Expert Member Joined Apr 22, 2014 Posts 2,182 Reaction score 1,972 Jun 8, 2016 #8 nzalendo said: Kwenye mchanganyiko wa masaa ya mwanza tulitafuta wastani tukapata. Sasa hapa tufanyeje Click to expand... Unachukua baridi unachanganya na joto, kwa hiyo; Kutakuwa na vuguvugu juni-Agosti
nzalendo said: Kwenye mchanganyiko wa masaa ya mwanza tulitafuta wastani tukapata. Sasa hapa tufanyeje Click to expand... Unachukua baridi unachanganya na joto, kwa hiyo; Kutakuwa na vuguvugu juni-Agosti
M Mangi flani hivi JF-Expert Member Joined Jan 2, 2016 Posts 2,026 Reaction score 3,113 Jun 8, 2016 #9 Waandishi Hewa, wa utabiri Hewa, wa Hali ya Hewa.
Charles Gerald JF-Expert Member Joined Mar 31, 2016 Posts 1,405 Reaction score 1,848 Jun 8, 2016 #11 Maskini nchi yangu!
mtebetini JF-Expert Member Joined Jul 5, 2015 Posts 1,924 Reaction score 2,038 Jun 8, 2016 #12 Kabla ya hiyo ililetwa hii Jamani kwa kweli hakuna mwanadamu aliye mkamilifu ila inapokuja kwa mwandishi ambaye kasomea taaluma ya uandishi anatakiwa awe Makini sana
Kabla ya hiyo ililetwa hii Jamani kwa kweli hakuna mwanadamu aliye mkamilifu ila inapokuja kwa mwandishi ambaye kasomea taaluma ya uandishi anatakiwa awe Makini sana
Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 47,543 Reaction score 101,672 Jun 8, 2016 Thread starter #13 ...makanjanja