Hali ya hatari chuo cha madini Dodoma

yeddy guyy

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2015
Posts
627
Reaction score
500
Habari za asubuhi wanagenzi,

Habari Nilizonazo Mpaka Sasa Kutoka Uongozi Wa Serikari Ya Wanafunzi Chuo Cha Madini Dodoma(M.R.I.S.O) Ni Kuwa Mpaka Sasa Kumekuwa Na Sintofahamu Ya field kwa wanafunzi wa kozi za geology na petroly geoscience mwaka wa kwanza (2016/2017),hapo awali ilitangazwa kuwa field ni tarehe 25 june lakn ilishindikana kutokana na ukata unaokikabili chuo hicho. Chuo kimeshindwa kutoa fedha kwa supervisors kwa ajili ya kuwapeleka wanafunzi hao field.

Hivyo basi mimi kama mdau wa elimu na member wa M.R.I.S.O Nichukue Nafasi Hii Kumuomba Ndugu Naibu Waziri na Jopo La Wizara Yake Ya Nishati Na Madini Kutupatia Fedha Haraka Iwezekanavyo Ili Tuweze Kwenda Field Maeneo Ya Chimala Mbeya.

Chanzo: M.R.I.S.O academic board
 
Kitila!
 
Kwanza Kitila mkumbo hahusiki na wizara ya madini. Yeye ni wizara ya maji na umwagiliaji. Ila nadhani wahusika watalifanyia kazi; ukifika chimala nishtue; nipo maeneo ya karibu
 
Kwanza Kitila mkumbo hahusiki na wizara ya madini. Yeye ni wizara ya maji na umwagiliaji. Ila nadhani wahusika watalifanyia kazi; ukifika chimala nishtue; nipo maeneo ya karibu
Sawa Kaka Ni Pm Bhac Contact Zako
 
Kitila Mkumbo anaingiaje kwenye madini!! [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…