Outbound logistics za bandari need overhaulHabari!
Wanajukwaa siku za hivi karibuni bandarini kumekuwa na hali mbaya sana katika uingiaji na utokaji wa malori bandarini lori ambalo linaanzia foleni malawi cargo mpaka lifike kitopeni liingie bandarini lipakie litoke lije litumie mizani wa Malawi cargo ni kama 4km tu lakini lori linatumia zaidi ya 24h kwa huo mzunguko hii ni mbaya sana huu si ufanisi uliokusudiwa.
Natoa wito kwa mamlaka husika kufanya uchunguzi wa hili tatizo na kuliweka sawa kwa taarifa isiyo rasmi kutoka kwa moja ya wadau wakubwa wa kazi ya kuhamisha makasha (madereva) wanadhani wafanya kazi wa bandari yetu wana mgomo baridi.
Hivyo mamlaka husika litazameni hili kwa jicho la kipekee kbs.
Ukiona hivo ujue documentation iko slow,Loading slow na magumashi ya kukwamisha mizigo ili ipate charges wapige hela!Outbound logistics za bandari need overhaul
Upo sahihi mkuu kuna kampuni X ina makasha 80+yanaingia storage saa6 usiku zimepelekwa gari hazipqkii na zilizopakia hazitoki foleniUkiona hivo ujue documentation iko slow,Loading slow na magumashi ya kukwamisha mizigo ili ipate charges wapige hela!
Ngozi nyeusi ogopa sana kila kazi anayofanya hata alipwe vipi lazima alete ujinga wa kutengeneza mazingira!
Hapo wanajua kila mzigo unaoingia storage ila hawajui kufanya kazi kwa ufanisi!Upo sahihi mkuu kuna kampuni X ina makasha 80+yanaingia storage saa6 usiku zimepelekwa gari hazipqkii na zilizopakia hazitoki foleni
HakikaUkiona hivo ujue documentation iko slow,Loading slow na magumashi ya kukwamisha mizigo ili ipate charges wapige hela!
Ngozi nyeusi ogopa sana kila kazi anayofanya hata alipwe vipi lazima alete ujinga wa kutengeneza mazingira!
Au mizigo imeongezekaUkiona hivo ujue documentation iko slow,Loading slow na magumashi ya kukwamisha mizigo ili ipate charges wapige hela!
Ngozi nyeusi ogopa sana kila kazi anayofanya hata alipwe vipi lazima alete ujinga wa kutengeneza mazingira!
Wenyewe huenda wapo humu humu ndani, wale ni reference tu.Mbona walituaminisha kwamba dipii woridi itamaliza hii mikatoš¤