Nashindwa kuelewa kwann 2nasahaulika kias hicho, lakn serikali iliyopo madarakan wajue hiyo ni indictor, wasifikir wa2 wa kibondo-kasulu-kigoma hawaelewe kinacho endelea, dawa yao ipo jikon.
Nashindwa kuelewa kwann 2nasahaulika kias hicho, lakn serikali iliyopo madarakan wajue hiyo ni indictor, wasifikir wa2 wa kibondo-kasulu-kigoma hawaelewe kinacho endelea, dawa yao ipo jikon.
Ni kweli hali ya barabara ya nyakanazi mapakaa kigoma ni mbaya mimi mwenyewe nimetoka kigoma jana na lorry mpaka sasa sijafika nyakanazi na gari yangu imevutwa na utelezi eneo la mkugwa karibu na kambi ya zamani ya wakimbizi na bado ncha kidogo iingie kwenye daraja linalotenganisha kijiji cha kifura na kisogwe hali ni mbaya kama mdau wa thread aliyeanzisha ni kweli na huko tulikotokea hasa maeneo ya kuanzia poli la malagarasi kuja darajani hakuptiki sijui serikali inafikiria kwa kutumia nini