Hali tete kwenye burudani

Mbona huku Tabata Bima 40-40 kwenye live band watu wanakula bata mpaka sehemu za kukaa hakuna?
 
Unajitahid kujitoa ufahamu ila ukweli unaujua mwenyewe
 
nasubiria 22/ july leaders club...castle lite unlocks...15000 yangu tu namwona diamond,vee money,navykenzo,casper nyovest,future etc......


Si bora tu ukawekeze kwa kitu cha maana kwa hizo hela? Sasa hao ni wanamuziki au wasanii tu, unaliwa hela zako bure. fanya kitu cha maana.
 
Wagosi wa kaya wanakwambia huu upepo wa sasa sio wa baridi
Bali ni wa moto 😛
 
nasubiria 22/ july leaders club...castle lite unlocks...15000 yangu tu namwona diamond,vee money,navykenzo,casper nyovest,future etc......
Acha tuisome namba mkuu ndio kwanza anataka kubana tunalialia siwalisema tumeipenda wenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…