Lipa kodi hii nchi isonge mbele, mlizoea kukitumia chama vibaya kipindi hiki mmeshikwa vibaya, kila mtu anaisoma namba peke yake, Mtoa mada naona huamini hata ndani ya chama chenu zimebaki rangi za kijani za bendera Tu, wote tunaisoma namba ila wale walipa kodi hakuna shida, Tatizo nyie wafia chama mnasoma namba za kirumiWamejaribu kuficha kwa muda mrefu ila moto hauwezi fichika kamwe. Ulianza ukimya wa mnyika, ukafuata ukimya wa Halima mdee sasa tunaona kauli ya Nasari na Rwakatare ni kama zinapingana na msimamo wa chama. Mapambano ya kumtafuta Ben saanane na kumtoa Lema ni kama yametelekezwa. Alekuwa mgombea anazunguka mitaani kutoa matumaini kuwa 2020 atashinda, nachojiuliza ameshapitishwa na chama kuwa mgombea?
Kigumu zaidi kueleweka ni kuona aliyekitelekeza chama kwenye uchaguzi mkuu kaanza kukisemea chama .
Anyway ngoja tusubiri TIME WILL TELL
acha umbeaWamejaribu kuficha kwa muda mrefu ila moto hauwezi fichika kamwe. Ulianza ukimya wa mnyika, ukafuata ukimya wa Halima mdee sasa tunaona kauli ya Nasari na Rwakatare ni kama zinapingana na msimamo wa chama. Mapambano ya kumtafuta Ben saanane na kumtoa Lema ni kama yametelekezwa. Alekuwa mgombea anazunguka mitaani kutoa matumaini kuwa 2020 atashinda, nachojiuliza ameshapitishwa na chama kuwa mgombea?
Kigumu zaidi kueleweka ni kuona aliyekitelekeza chama kwenye uchaguzi mkuu kaanza kukisemea chama .
Anyway ngoja tusubiri TIME WILL TELL
Tafuta jukwaa la kwenda au hilo la "national interest"...au usisome na kutoa maoni kama unaona upuuzi au wewe anzisha hizo mada za "national interest".Maxence why una tolerate TROLLS humu?
why usianzishe special threads za CCM na Nyingize CHADEMA za kutumbukiza hizi threads na posts zao?
We have far better national issues to discuss
Zigo lipi mkuu..lile zigo la yule jamaa aliyehonga nyumba za serikali kwa hawara zakeZigo walilobeba ni gumu.
Watanzania bwana watu wa ajabu sana hawapendi kusikia ukweliAcha kupoteza muda kupambana na CDM, taifa bado masikini tokea uhuru CDM wamekuja 1995. Tujitahidi kuikemea serikali iongeze speed kwenye utendaji taifa litoke kwenye tope na kizani.. CDM ni chama cha siasa tu hakina dola, hakikusanyi kodi, hakiajiri watu, hakijengi miundombinu, hakijengi shule wala zahanati.. Tupambane na tunayemlipa kodi zetu na kuvuja jasho letu atekeleze majukumu yake....
ZIKIISHA ZA KIRUMI WATAANZA ALJEBRALipa kodi hii nchi isonge mbele, mlizoea kukitumia chama vibaya kipindi hiki mmeshikwa vibaya, kila mtu anaisoma namba peke yake, Mtoa mada naona huamini hata ndani ya chama chenu zimebaki rangi za kijani za bendera Tu, wote tunaisoma namba ila wale walipa kodi hakuna shida, Tatizo nyie wafia chama mnasoma namba za kirumi