Hali si nzuri kwa ccm Kalenga

sipati bicha mabillion ya ccm yanayo potelea kalenga, maana nlipishana na misafara wa magari zaidi 40 maeneo ya mikumi gari hizo zilikuwa zikielekea kalenga.
 
Chadema inahaki ya kushinda na ccm wana mabavu ya kushinda.
 
Chris Lukosi aliapa kuwa CDM hamshindi Kalenga na mkishinda atatembea kwa miguu toka UK hadi bongo

Mkuu hivi huwa unatilia maanani kauli za yule jamaa..!? Kile kichwa kina matatizo makubwa.
 
Chris Lukosi aliapa kuwa CDM hamshindi Kalenga na mkishinda atatembea kwa miguu toka UK hadi bongo

Tambwe hiza aliapa siku akirudi ccm atamlala mamaake! Nadhani alishamaliza maana tayari yupo huko!
 

Hii kali sana cc Elli.
 
Last edited by a moderator:
Piga kura linda kura atakayepata kura nyingi ndiye mshindi awe CCM au CDM au chama kingine. Kinachokasirisha wananchi ni uchakachuaji!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…