Hali ni tete ndani ya UKAWA

Ukiwa kwisha hata kama hutaki, mgombea mbovu, umoja hakuna, mbowe kawa dikteta, ilani hamna ..yaaani nyie ni wa kupigwa tu na tutawatandika this time mpaka mjinyee kama jamaa yenu

Na nyie wenye ilani, hyo ilani yenu imewasaidiaje wananchi...
 
Jamani ukawa mmewafanya nini wenzenu wa lu mu mba mbona kila saa ukawa ukawa ukawa,hawalali wenzenu si muwasamehe tu,halafu mlivyo na jeuri kama vile hamuwasikii wenzenu yani wanakonda kwaajili yenu hawali,hawanywi,hawalali wala hawakunyi wanawawaza ninyi tu,kweli nimeamini UKAWA mnapendwa hadi raha
 
Tupo wana mageuzi lakini huyu shetani aliyealikwa lazima apigwe mijeledi!
 
Komandooo kajinyeaa huyo huyo komandoo kajinyea huyo huyooo kubwa lao kajinyea na nguo tuitie moto . Mi naimba tuu jamani nyimbo
Za utotoni
 
Badala ya kukimbilia kukanusha na kukebehi, fanya kautafiti kidogo. Mbatia kakalia kuto kavu. Mzee Makaidi kakataliwa kule Mtwara. Kuna ukawa tena hapo?

UKAWA ipo endelea kujifariji haturudi CCM mwambie huyo uliyempiga maneno hayo unafikiri hiki ni chuo cha ushirika Moshi au hivi ni viatu vya riziki ?!
Unaishi maisha ya ajabu mchawi wewe
 
Kwenye maombi huwa tunasema Amen(wakristo) na Amin (waiislam)...maanake na Iwe ivooo.....kwa mawazo na fikra za mawazo yako mleta mada.tunasema F.U.CK OFF
 

Ha ha ha dah kila kukicha mnaleta uzi wa "hali tete ndani UKAWA" lakini hamna kitu pamoja na mbinu za maccm za kifedhuli lakini mwisho wa yote ni Oktoba 2015.
 

Mbona unaandika kama vile una msongo wa mawazo.nenda kalale ukishapumzika utapata akili nzuri ya kuandika vitu vya maana.
 
ungemalizia kuwa hali ni salama ccm basi tukuelewe
 
nimeshapiga sana makimba jukwaani siogopi vitisho

ila siamin katika huu mkutano nimetoa kimba peke yangu

tulikubaliana wote tutoe makimba mbona mmeniacha pekeyangu

leo mmekuwa wasaliti jukwaa la kampeni natoa kimba peke yangu

viva kimba viva oyooooo viva kimba vivaaa
 
Hii ni tatizo la njaa tu.Vumilia jamaa yangu.tuiondoe madarakani ccm.tuweke pembeni njaa zetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…