Nichumu Nibebike
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 8,658
- 15,793
Sijui ndio anadhani nitampa kodi yake wakati bado miezi miwili?
Maana kodi iliyopita hata kabla siku hazijafika tayari keshanidaka nimuwahishie... Na vile kipindi hiki cha hapa kazi pesa ilivyoota mbawa ikabaki pesa kidogo kummalizia.
Wacha ajipitishe pitishe kuidai. Yani umeshawahi kuona mtu anakudai bila kusema neno. Nilikoma, maana she was all over!
Kwa kweli aliniboa sana mpaka nikatamani kuhama... Na sasa keshakula pesa imekwisha keshaanza kujipitisha pitisha tena akidhani ntamlipa kodi yake kabla ya muda. Angejua nina mpango wa kuhama kwenye hili bangaloo lake nikakae kwenye chumba kimoja, angetokwa machozi.
Dada zetu, maisha ni magumu, mkiona hatuwaoi, sio kwamba hatupendi kuwaweka ndani ila ndio ivo mtu unawaza mtoto wa watu utamlisha nini wakati maisha ya graduate bado ni ya kuunga unga na nukta!