Hali ilivyo ndani ya CCM kwasasa

Wishful thinking. Kipanya anatamani yatokee hayo ila, hata huyo anayekuja kuongoza atakuwa ametokea humo humo ccm
 
CCM wanapigana na kivuli chao kwa sasa baada ya upinzani kusalim amri!
 
Utabiri wa mh Lema unatimia kuwa wakiwamaliza wapinzani watageukiana wenyewe kwa wenyewe
CCM wanapigana na kivuli chao kwa sasa baada ya upinzani kusalim amri!
 
Umeishia darasa la ngapi?
Kinachoendelea Kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa ndani ya CCM unakijua??
Kumbe tiyari ushajua kuwa kuna chaguzi za chama zinaendelea. Tunaandaa uhalali wa utawala kuwa we rule from the grass roots. Kitu cha kujua ni kuwa; Onceelected thru the chama votes yu are the winner.
 
Hata kwa kukwapua haki za wapiga kura
 
Nadhani tafsiri yako sio sahihi sana. Kwa uzoefu wangu wa siasa, mara nyingi CCM hupendelea hali hii ya mnyukano wa ndani kwa ndani. Faida yake ni moja, CCM ndiyo inayosemwa na ndiyo inayosikika masikiano mwa watu (kwenye siasa ni kosa kupotea masikioni na midomoni mwa watu), na mbadala wake huonekanana yumo humo humo ndani ya CCM. Hii ni hatari kwa afya ya vyama vya upinzani. Jambo, la kujifunza wapinzani, kama vita ilivyokua 2015, na hatimaye upinzani kutokea ndani ya CCM, ndio hali hii inajitokeza tena. Itakua kosa kama upinzani ukipokea mtu kutokea CCM. Itakua sawa na ya 2015.
 
Kwa ushauri wako sasa nini kifanyike ili kuepuka hali hiyo isitokee?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…