Hongera sana kamanda wangu lEMA...matunda ya kazi zako yanaonekana wazi..Sasa inabidi ukapige kambi jimbo la MPANDA linaloonozwa na Pinda,baada ya hapo pita Njombe kwa mama Makinda.
Am praying for you.
Kweli Kamanda Lema na Milya watasaidia sana kuleta watu. Ukisoma ile hukumu haina mashiko na rufaa watashinda, no evidence kabisa. Uchafu mtupu. Sasa cha moto watakiona, ngoja bunge limalizike CDM waanze kupita mikoani wakiwa na milya na lema, hapatoshi.
Ilisemwa ni JK aloshinikiza, leo imegeuka tena kuwa Waziri Mkuu! Nasubiri kusikia mengi mwaka huuWaziri Mkuu atajuta kuingilia uhuru wa mahakama kwa kuutengua ubunge wa kamanda Lema.
Pinda siku zake za kuwa waziri mkuu zimeanza kuhesabika