Hakuna wizi wa madini Manyara

John Walter

Member
Joined
Aug 14, 2017
Posts
68
Reaction score
63
Mkuu wa mkoa wa Manyara Alexender Mnyeti amewataka wananchi kusikiliza taarifa zinazotolewa na vyombo vya serikali na sio kusikiliza taarifa mitaani kwani hizo zinapotosha .
Kauli hiyo ameitoa baada ya kuzuka kwa taarifa kuwa madini ya Tanzanite yanaibiwa licha ya kuwepo kwa ukuta.
 
Kwahiyo tume ya madini ikiongea inahesabika kwamba ni "taarifa ya mtaani"?
 
Wizi upo kila sehemu isipokuwa Mbinguni tu!
Hata wakibana vipi, watakachofanikiwa ni kupunguza wizi na sio kuutokomeza kabisa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…