Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,342
- 34,736
Usimzarau tyson
Aj atachezea za chembe mpaka ajinyee ..hamuwezi wilder hata kidogo ..sema tu Aj ni raia wa British na kama unavyojua waingereza watu wa promo nyingi sana misifa sifa kama wahayaWilder ana Ngumi nzito saana. Wa kumsimamisha wilder atakuwa yule mpopo AJ na sio huyu Tyson fake.
DrawMatokeo yalikuwaje?
Katandikwa huyo bishoo wilder raundi ya saba tu kalambwa na damu 😂Matokeo yalikuwaje?
Draw[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]??Baada ya draw naona umekimbia