KISAKA MORIS
JF-Expert Member
- Apr 23, 2012
- 372
- 33
Nipende kusema tu kuwa mimi siyo mwana CCM ila ntamuunga mkono Mheshimiwa E.L atakapoamua kuchukua fomu ya kugombea nafasi ya Uraisi ndani ya chama chaka hata kama mgombea binafsi kama katiba mpya itakuwa inasema hivyo. Sababu za kukupa kura yangu ni nyigi sana. Kama una nia nikupe nguvu zaidi ya kupambana Mungu akubariki......