Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 17,895
- 25,945
Aman iwe juu yenu wakuu
Kama kichwa cha habal kinavyosomeka hapo juu
Siyo mtu unajifia fia tu sijui unaumwa ukimwi sijui maralia sijui unaumwa kiyutiai
Au unakuta mwanaume mzima anakufa kifo cha kizembe kabisa cha kufia vitani kwa kupigwa kalisasi au virisasi yaan unakufa kizembe zembe tu
Ivi kweli mtoto wa kiume unakufa kwa kupigwa shoka na watu nao wanasikitika kweli?
Mtoto wa kiume fia kifuan kwa mwanamke uache history
Ni kifo ambacho ukifa hata Mungu mkuu wa mbinguni mwenyewe anakunyoshea mikono na kusema wewe ni mnyama
Yaan hata ile siku ambayo malaika akina Gabriel na Raphael watakupokea kwa tabasamu sana huku wakisemezana wao kwa wao
Wanaume achen kufa kizembe zembe
Aman kwao watu wote ambao walifia kifuan kwa wanawake maana ni mashujaa sana
Aman kwao watu wote ambao wamepangiwa kifo kitamu kama hiki
Hiki ni kifo kitamu sana kifoo cha kijanja kifo cha kishujaa
MUNGU NIJALIE NIFE KIFO CHA KISHUJAA CHA NAMNA HII HAPO BADAE siyo nife kizembe zembe sijui kwa kisukar sijui shinikizo la damu sijui nini aaagaya
Aman kwenu watu wote ndani ya jukwaa
LONDON BOY
BOY FROM LONDON
BACK ENGLAND