Gogle JF-Expert Member Joined Feb 26, 2013 Posts 1,495 Reaction score 871 Nov 2, 2013 #21 njunwa wamavoko said: Soma hata Title Mkuu for "Android also works for iOS" Tutorial ya Android ipo chini kabisa observe vizuri Click to expand... Ok, imekataa, inasema " safari can not download this file"
njunwa wamavoko said: Soma hata Title Mkuu for "Android also works for iOS" Tutorial ya Android ipo chini kabisa observe vizuri Click to expand... Ok, imekataa, inasema " safari can not download this file"
Njunwa Wamavoko JF-Expert Member Joined Aug 11, 2012 Posts 5,757 Reaction score 2,388 Nov 2, 2013 #22 Gogle said: Ok, imekataa, inasema " safari can not download this file" Click to expand... Unadownload File gani Hilo linalokataa? Nakushauri uje PM mkuu
Gogle said: Ok, imekataa, inasema " safari can not download this file" Click to expand... Unadownload File gani Hilo linalokataa? Nakushauri uje PM mkuu
Gogle JF-Expert Member Joined Feb 26, 2013 Posts 1,495 Reaction score 871 Nov 2, 2013 #23 njunwa wamavoko said: Unadownload File gani Hilo linalokataa? Nakushauri uje PM mkuu Click to expand... Mkuu, kwenye iPad tunadownload kutoka app store tu, so Kama hiyo app iko app store nipe jina lake, vinginevyo sidhani Kama tutaelewana
njunwa wamavoko said: Unadownload File gani Hilo linalokataa? Nakushauri uje PM mkuu Click to expand... Mkuu, kwenye iPad tunadownload kutoka app store tu, so Kama hiyo app iko app store nipe jina lake, vinginevyo sidhani Kama tutaelewana
Njunwa Wamavoko JF-Expert Member Joined Aug 11, 2012 Posts 5,757 Reaction score 2,388 Nov 2, 2013 #24 Gogle said: Mkuu, kwenye iPad tunadownload kutoka app store tu, so Kama hiyo app iko app store nipe jina lake, vinginevyo sidhani Kama tutaelewana Click to expand... open vpn connect
Gogle said: Mkuu, kwenye iPad tunadownload kutoka app store tu, so Kama hiyo app iko app store nipe jina lake, vinginevyo sidhani Kama tutaelewana Click to expand... open vpn connect
Gogle JF-Expert Member Joined Feb 26, 2013 Posts 1,495 Reaction score 871 Nov 5, 2013 #25 njunwa wamavoko said: open vpn connect Click to expand... Ok, Mkuu tayari nishadownload openVPN connet, wat next?
njunwa wamavoko said: open vpn connect Click to expand... Ok, Mkuu tayari nishadownload openVPN connet, wat next?
KALITHERMAL Member Joined Aug 22, 2013 Posts 81 Reaction score 8 Nov 5, 2013 Thread starter #26 @njuwa wamavoko, Sijaelewa mdau,kwamba naweza tumia kwa simu ya kawaida samsung galaxy note 10.1?
thesym JF-Expert Member Joined Aug 15, 2012 Posts 3,867 Reaction score 4,859 Nov 5, 2013 #27 hii pd proxy mi bado sijaielewa kabisa japo nataka nianze tumia
Ryoba Warioba Senior Member Joined Sep 1, 2013 Posts 199 Reaction score 170 Nov 5, 2013 #28 nawezaje kuwa authorized dealer na mm wa pd proxy#Njunwa wa Mavoco