Okay, wakati Mungu anamuumba kiumbe wake mpendwa (lucifer) hakujua tarehe fulani huyo kiumbe wake atamuasi?
Kama alijua, kwanini hakumboresha ili asiasi au kughairi kumuumba?
Kama alijua na anamuumba tu huoni shetani hana kosa bali mwenye makosa ni Mungu?
Je, siku ya mwisho tukimuuliza Mungu haya maswali atatuacha salama kweli au ndio atatumia ule udikteta wake kama ilivyo kawaida?
Okay, wakati Mungu anamuumba kiumbe wake mpendwa (lucifer) hakujua tarehe fulani huyo kiumbe wake atamuasi?
Kama alijua, kwanini hakumboresha ili asiasi au kughairi kumuumba...
Kuna njia mbili za kujibu swali kuna kujibu swali kwa jibu husika "Direct way" na kujibu swali kwa swali wana falsafa wanaita "maieutics" au "socratic".
Hivyo kwa msingi huo nimekujibu swali lako .
N.b
Heshimu kila mtu ,jaribu kutumia lugha nzuri unapojadiliana na kila mtu .