Ukpat muda sikiliza Wasafi FM
Thanks me later..
Unamjua Kidlax?wale ma Dj wote wa Wasafi nawafahamu vizuri sana, tena na wengine tangu wanaanza carrer yao mpaka michongo wanastiwa wanafika hapo
Hivi guyu dogo Bahati anayejiita Dj Lucky naye ni mkali?Unamjua Kidlax?
Unamjua DJ Y.O.B? My best DJ anangonga ngoma kama mwehu
Unamjua Dj Jacko?
Unamjua Dj Mina?
Unamjua DJ Lucky?
Wapo wengi wengine baadae tuanze na hao na uniambia playlist zao zikoje na yupi anakuwa mkali kwenye ngoma za aina gani
Unamjua Kidlax?
Unamjua DJ Y.O.B? My best DJ anangonga ngoma kama mwehu
Unamjua Dj Jacko?
Unamjua Dj Mina?
Unamjua DJ Lucky?
Wapo wengi wengine baadae tuanze na hao na uniambia playlist zao zikoje na yupi anakuwa mkali kwenye ngoma za aina gani
mafuvu alikuwa tatz yule jamaa kwenye kipnd cha saa 7 (power jum)mchana kipnid cha nyuma alikuwa anatangaza sammisago na anna pita half juma mosi planets bongo cha dula ilikuwa noma mzee mwenzangKwa RDJ'S (Radio DJS) wa vituo mbali mbali vya redio hapa nchini, tukiweka pembeni sijui redio inayosikilizwa sana, coverage, hakuna maDJ wa redio wanaotisha kwa sasa kama maDJ wanaotoka East Africa Radio,
Dj Summer - Mzee wa amsha amsha na mikuno ya kutosha
Dj Niki HD - Mtu mbaya sana huyu siku za jmos kwenye Amsha popo msikilize ana ujua sana mziki wa nje
Dj Dea - Hatari kwa mixing za nyimbo za nje habahatishi
Dj Mackay - Aka the Bull dog, hana mbwembwe nyingi ila huwezi hamisha kidude.
Nilidhani baada ya kuondoka Ommy Crazy, Mafuvu na Sinyorita mziki utashuka ila pameendelea kujidhihirisha kuwa pale ni Nyumba ya Muziki.
DJ Mina alikuwepo EFMMajina ngeni kwangu
Kumjua sana haiwezi kuondoa ukweli kuwa anaweza.Hivi guyu dogo Bahati anayejiita Dj Lucky naye ni mkali?
Kama ni hivyo basi mzee utakuwa haujui maana halisi ya Mkali.
kwani ni mtu gani aliyesema hapa dj mzuri lazima awe na scratch tu??Kumjua sana haiwezi kuondoa ukweli kuwa anaweza.
DJ ili awe mkali sio namna anavyo scratch machine DJ ili awe mkali ni lazima awe na playlist ya maana.
.
Mfano Dj Lucky ana session ya kupiga nyimbo za Singeli au Throw back basi ni lazima awe na playlist kali ya ngoma hizo, Lucky ni mtu mbaya sana.
Also my men DJ Delvik