hakuna raha kama hizi duniani asikwambie mtu.

Ngoja nikajaribu, isipokuwa hiyo ya fegi na kukata gogo!
 
Hivi wewe c ndo unataka kumpiga mkeo wakati akikuombea? Wasiwasi!!
 
Hii wiki iishe tu,nahisi kuna upepo umewapitia watu!
Si uongo Ennie. Inakuaje mtu na akili zake anapost kitu kama hiki. Nachaajabu huenda ana mke na watoto nyumbani!!! potelea mbali hata kama ana demu walahi ningekuwa wakike halafu ndo kiburudisho chake namuache bora nizeeke kwetu. Upuuzi tu.jaribu kutafuta watu kama hawa wanakuwaga na tabia za ajabu sana na hata wakienda bar wanajikojoleaga hawa.
 

Mmpakaa aibuu etii lakini naizii bangee zaa mbagalaa zinapelekaa watu vibayaa mmnoo mpakaa aibuu eti?
 
kujisaidia haja kubwa huku unavuta sigara au kusafishwa maskio na mtu mwingine kwa kutumia pamba za kusafishia maskio a.k.a [cotton buds]

napata shida kuamini ninachokifikiria na kutokuamini ninachokifikiria juu ya huyu mtoa thread na thread yake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…