Hakuna nchi ya ajabu kama tz...,


Serikali sikivu inatekeleza ilani ya uchaguzi juu ya maisha bora kwa kila mtanzania, huku ikiwajali sana wawekezaji ,ni bora wafe watanzania 100 kuliko kumpoteza muwekezaji mmoja. Baada ya uchaguzi 2015 wakulima wote wazawa hasa wadogo watalazimika kulipa kodo, na mazao yao ni marufuku kuuza nje yaozee kwenye maghala kama mpunga unavyo oza mwaka huu kufuatia kupiga marufuku kuuza mchele nchi za jirani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…