Kwani wamekatazwa kufanya biashara yao hao bodaboda au wameambiwa wasiingie mjini? Mbona kuna maeneo mengi tu wanaweza na wanafanya kazi kama kawaida?
Watz kila siku kulalamika tu na hatupendi kufuata sheria. Hata ukiambiwa usifanye biashara katika eneo hili basi ndiyo utakwenda kuweka biashara yako hapo hapo.

vijana wameamua wajiajiri na bodaboda zao eti wanazuiwa wasifike mjini au baadhi ya maeneo..,hvi serikali haioni hakuna ajira vijana wamejiajiri bado mnawafuatilia, bado wamachinga. Mama lishe wanavyosumbuliwa nyie viongozi wa manispaa, jeshi la polisi na serikali ya ccm mna akili gani?...
KWA AKILI YAKO NDOGO NA KUTOKUA NA UELEWA UNAFIKIRI WATU WENGI WANAOTUMIA BODABODA NA PIKIPIKI WAKO WAPI? SI MJINI...NA WENGI WANAPENDA KU2MIA ILI WAWAHI NA KUKWEPA FOLENI HAYO MAENEO UNAYOSHABIKIA WAHAMISHIWE WATAFANYA BIASHARA NA WATEJA WAPI?..poor thinking..,FOOLISH WEWE
Nashangaa ni nani kati yetu mwenye akili ndogo na foolish kama ulivyoandika mwenyewe.
Ndiyo maana mukaambiwa muna IQ ndogo halafu munashangaa. Jaribu kutafakari jambo kwa marefu na mapana na siyo kufunika kichwa ukawacha mkia nje.
Mkuu bila boda boda watu watafikaje mjini...?amna magari wamama asubuhi wanahangaika na ndoo zao wanashindwa kufika feri akuna magari...yote ni kumtegenezea UDA biashara.
acha kulialia,,mtoto wa kiume wewe. Seek for solution.