Hakuna mwanaume kama brother angu

Mbona kama Bro wako namfaham hivi
 
Umenena vyema kabisa.
 
Ushasema bro wako ni kicheche, unadhani ataumizwa vipi na matendo ya mke wake wakati yeye ni kicheche..
 
Bila shaka huyo bro wako ni mwana CCM ..
 
Ukiona hivyo, ujue huyo kaka yako kajipa tickect rasmi ya kuendelea kuchapa nje. Kwasababu mkewe hataweza kumgombeza wakati naye anachapwa nje. Alilofanya shemeni yako kajiondolea nguvu ya kumlalamikia kaka yako maana naye atamkumbusha yake aliyofanya na akamsamehe. Kwa hili atakayeendelea kuumia ni shemeji yako na siyo kaka yako maana yeye kashaamua maisha yake kwahiyo atamchukulia kama wengine anaowachapa nje.

Pili, huenda huyo kaka hataki kuharibu kizazi chake, kamuacha mke alee watoto wake lakini ni kama alishamucha kihisia.
 
Reactions: Cyb
Waswahili bwana. Wamekutana wote akili sawa, mlevi na mchepukaji. Cjui nani amkane mwenzie 🤣
 
Hakuna mwanaume PIMBI na JUHA kama bro ako, sister [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…