Mama yangu alitengana na baba yangu nikiwa na miaka kama 5 hivi, na akaamua kwenda kujipangia tukaanza kuishi wa2.
Ever since, Sijawai kuona wala kuskia habari ya baba mdogo, Wala sikuletewa mdogo wangu.
I cherish her, And still naamini na nishawai meet wadada of her kind.
Mfano, Nishawai kutana na bint bikra(tena wa2) akiwa ndo anamaliza mwaka wake wa3 chuoni.
So tuache ku oversize mambo, Kuna wakaka na wadada wametulia hapo nje na kuna nyie akina side na asha matusi 😃