Walioshika buku saba wamekimbia tupo sisi tuliosimama na wanyonge wa nchi hii
Haya kakamate buku 7 yako safi kabisa pale
Bado tu hujapata teuzi?
Sipo hapa kwa kuteuliwa !
Expire date ya ccm inakaribia
Jikombe sana. Hata Makamba aliwakejeli wapinzani kubatizwa kwa moto. Leo umemuwakia. Dogo aliwahujumu wananchi kuchezea kura zao, Leo amechezewa. Nape alipanga na la mkono akaishia kunyoshewa bunduki.Mheshimiwa Rais na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Dr.John Pombe Magufuli fungua begi jipya la mikasi na visu vya kutumbua majipu yaliyokuwa makalioni mwa chama...wenyewe watasema yana harufu na wataalamu wanasema yanachukua muda kupona baada ya kutumbuliwa...lakini hakuna tiba nyingine zaidi ya kuyatumbua hata kama harufu ni mbaya basi agiza mask,gloves ndefu na aprons ili uweze kuyatumbua kisawasawa.
Mabadiliko yanahitaji mbadilishaji asiyesita wala kubabaishwa !!
Viva JPM...SONGA MBELE
NIPO KIJIJINI KWEDIKWAZU NAKULA MADAFU!
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Dua la kukuJikombe sana. Hata Makamba aliwakejeli wapinzani kubatizwa kwa moto. Leo umemuwakia. Dogo aliwahujumu wananchi kuchezea kura zao, Leo amechezewa. Nape alipanga na la mkono akaishia kunyoshewa bunduki.
Nawe imba kesho utaisoma tu numbers
Wanyonge kina musiba?Walioshika buku saba wamekimbia tupo sisi tuliosimama na wanyonge wa nchi hii
Tunahitaji mwenyekiti wa CCM anayeweza kuchukua maamuzi magumu.Tunakuamini Magufuli.CCM inanuka,inahitaji maamuzi magumu,inahitaji radical change.I believe you can.Mheshimiwa Rais na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Dr.John Pombe Magufuli fungua begi jipya la mikasi na visu vya kutumbua majipu yaliyokuwa makalioni mwa chama...wenyewe watasema yana harufu na wataalamu wanasema yanachukua muda kupona baada ya kutumbuliwa...lakini hakuna tiba nyingine zaidi ya kuyatumbua hata kama harufu ni mbaya basi agiza mask,gloves ndefu na aprons ili uweze kuyatumbua kisawasawa.
Mabadiliko yanahitaji mbadilishaji asiyesita wala kubabaishwa !!
Viva JPM...SONGA MBELE
NIPO KIJIJINI KWEDIKWAZU NAKULA MADAFU!
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Ebu tupe definition ya mnyonge...manake hatuwaelewi ujueWalioshika buku saba wamekimbia tupo sisi tuliosimama na wanyonge wa nchi hii