Hakuna movie imewahi nihuzunisha kama hii

napenda animation sana.ngoja niitafute.
pia kuna iko moja ni kama animation ilinipa huzuni sana.kuna mdada ameungwa ungwa km kiroboti ila anapiga mkono hatari..
kuna sehemu wakora walimgawa vipande vipande ila kuna dokta akamuunganisha!inatia huruma sana ila jina nimesahau
 
Love sex and robot
 
Iyo movie inaitwa alita battle angel movie Kali sana ina namba mbili inatoka mwaka 2023 kam sikosei
 
Ambazo zingekua karibu yangu ningemaliza zote mbona za kutoka Pixa, Dreamworks na bluesky studio zote nimemaliza.
Hapa najipanga nianze za WarnerBros animation, hua wanazo nzuri though zimebase kwenye Batman n superman stories
Hapo kwa Pixar -Ratatouille, Cars 2, Toy story, The Incredibles, Monsters University na hii ya The good dinosaur (hii future wife wako anaipenda kweli). I think I like you.
 
Ambazo zingekua karibu yangu ningemaliza zote mbona za kutoka Pixa, Dreamworks na bluesky studio zote nimemaliza.
Hapa najipanga nianze za WarnerBros animation, hua wanazo nzuri though zimebase kwenye Batman n superman stories
Dreamworks -Prince of Egypt, How to train your dragon, Kungfu panda 2, Madagascar.
Mbona haujaandika Disney?
 
Msalimie👋
Pixar wanajitahidi sana animation zao zimetulia Up na Wall E kwangu ni the best.

Hii comment nii screenshot kabisa ase
😍😍💞💞💓💓
Wall E nzuri sana. Mi movie huwa hazinihuzunishi kihivyo, nafikiri sababu nyingi zinakuwa na happy ending. Lakini hii unatafuta pa kutokea hakuna, mambo yanazidi kwenda hovyo. Inaharibu siku kwa kweli.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…