kipindi de lima na zizou walipochukua ballorn d'or mara tatu tatu dunia ikajua hakuna mwingine ambae anaweza akavunja rekodi za magwiji haoView attachment 323674 View attachment 323675
Soma hapo acha uvivu.. mwaka wa 2005 ABICELESTE 2-1 NIGERIA ilipigwa HOLLAND messi akanyakua kombe! mwaka wa 2008 ALBICELESTE 3-0 BRAZILilipigwa BEIJING akiwepo na mauno wenu na robinho walipotezwa ile mbaya albiceleste wakalinyakua..
Hapana aisee, unapozungumzia skills na ufungaji dinho ni nyoko. Kwa skills huyu jamaa hakuna mtu aliyefikia level yake.Ndiomaana nawaambia msichokijua kaukeni tu..huyo dinyo wenu mwekeni list moja na kina aguero,neimar,higuain,hazard,de maria,nk.lkn kumpanga na ((DIEGO,MESSI NA ZIDANE))huko si kuwatendea haki, hana hadhi kabisa kumweka ktk list moja na hawa jamaa watatu
Until he wins World Cup he can't be compared to Maradona or Gaucho to say the least
kipindi de lima na zizou walipochukua ballorn d'or mara tatu tatu dunia ikajua hakuna mwingine ambae anaweza akavunja rekodi za magwiji hao
lakini kumbe kapo haka kajamaa mdogo kwa umbo mkubwa kwa mambo messi mahatrick!
rekodi anazoweka nahisi itapita miaka 1000 kuvunjwa
nani mwingine atakuja kuchukua ballorn d'or mara tano?????
sahau kuhusu world cup hiyo itakuwa kama additional qualification on his already impressive cv
messi mahatrick hana mpinzani
Uliowataja walikuwa wachezaji wazuri lakini sio kwa level Ya Maradona
Ni kumkosea CR7 heshima kumlinganisha na Neymar kwa sasa ila Neymar ni very promising naamini atavunja records nyingi
Hakuna kama mtakatifu Dinho Gaucho Mnyama,huyu ni Nabii na Mtume wa mwisho kwenye Soka,hatatokea mwingine kama kabla ya miaka 2000 kuisha.
Pele na Maradona ni malegendary wa soka katika dunia hii. Ronaldinho Gaucho kaja na ufundi kwenye kabumbu.
Hawa kina messi, CR7 tunawazungumzia kwasababu ndio kipindi/zama zaotu. Hawamfikii Gaucho.
Gaucho is a World Cup winner, the ultimate prize which every player dreams aboutMkuu mi nataka tu ututhibitishie kwa kipi dinyo kamzidi messi? Lete record zote za dinyo mpaka alipoenda kujifia huko ac milan then kakimbilia brazil kwao.then lete na za KING MESSI hapo ndio ntakuona wa maana! Nasubiri
Ukichaa wako wa kuzaliwa au kulogwa?kama ni kurogwa tukupeleke kwa Sangoma.
Gaucho is a World Cup winner, the ultimate prize which every player dreams about
Messi ataiangalia World Cup kwenye runinga tu
Ronaldo de Assis Morreira, best ever, wengine nawapa heshima ila huyu ndo mchezaji wangu bora wa muda wote!
pele kapitwa hata na mbwana samata
Naona ndio kauzi kenu mmeshikilia ili msianguke. Ha ha ha!
Sasa zilikuwa vipi offside kama offside hazikuwepo?
Kwa vigezo gani?Uliowataja walikuwa wachezaji wazuri lakini sio kwa level Ya Maradona
Youth World Cup? Are you kidding me? Hiyo hata Ghana na Nigeria wanachukuaView attachment 323694 View attachment 323695
Hakuna alichoacha hapo, sijui mnataka nini tena..hebu mtendeeni haki huyu kiumbe
Punguza povu basi mkuu, umekisoma vizuri nilichoandika kweli, Sawa Dinho hakufanya kitu kule Korea na Japan, ila kamuulize David Seaman yule Goalkeeper wa England, Dinho ni nani? Zingatia sana neno HESHIMA, na neno langu sio SheriaTatizo lenu mnapenda ushabiki! Mkiambiwa leteni records zake alivoanza mpaka alipojifia huko alipo ooh mnabaki dinyo bana acha kabisa yule jamaa hakunaga... sasaa sisi tunataka vitu vyote vya maana alivyomzidi huyu kiumbe magician! Kama unavyo lete hapa! Kama ni world cup kuchukua dinyo alikuwepo lkn hakuisaidia timu yake chochote kile zaidi ya de lima na rivaldo ndio waliofanya kazi ya ziada pale