nkyandwale
Member
- Feb 8, 2011
- 64
- 15
Nani ana taarifa sahihi za kushikiliwa kwa mwana jf...?
Kwanini ashikiliwe...? Kama kuna ukiukwaji katika kazi zake, kwanini mtandao usifungwe, iliuchunguzi ushike nafasi, kama yafungiwavyo baadhi ya Magazeti...? Ukweli utadhihili...! Nijuzeni wanajf kulikoni...?