Hakuna mabadiliko yasiyo na maumivu

ACT-Nkasi

Member
Jul 12, 2015
80
42
Habari wana bodi
Leo nimeona ni vema tujadili kwa pamoja dhana nzima ya mabadiliko kama amabavyo yalikuaga yakihubiriwa na wanasiasa kadha wa kadha wakati wa kampeni

Upepo wa uchaguzi ulipita wakuchaguliwa wakachaguliwa na mabadiliko kwa kiasi chake tukaanza na tunayaona mpaka sasa ambapo kwa kiasi fulani yamekua kama mwiba mchungu kwa baadhi yetu

Mabadiliko ni dhana pana ambayo hadi kuifanikisha huambatana na maumivu kadhaa ambapo maumivu hayo yanaweza kuwa na impact kiuchumi,siasa na hata nyanja zote za kimaisha na leo nataka nije na mifano ya nchi kadhaa ambazo leo tunaziona zina uchumi mkubwa duniani na hatua ambazo walizipitia hadi kufika hapa walipo leo

HIZI NDIO NCHI AMBAZO ZITAKUA MSINGI WA HOJA ZANGU (case study)
~United states of America
~United kingdom (Uingereza)
~Russia au urusi
~China

SASA TUANZE NA MAREKANI (USA) KATIKA KUJADILI DHANA YA MAUMIVU KATIKA KUFANYA MABADILIKO YOYOTE YA KIMFUMO
Taifa la marekani lilikua ni colony la uingereza kwa kipindi kirefu kuanzia zama za ugunduzi wa new world 15 century mpaka uhuru wao mwaka 1776 chini ya George Washington .Uhuru wa kisiasa wa marekani kwa kipindi kile ilikua ni.hatua mojawapo kuelekea katika mabadiliko ya kimfumo ndani ya Us lakini pia ilikua ni.mwanzo wa safari ya mabadiliko ambayo kwa kawaida huambatana na maumivu

US baada ya uhuru wake wa 1776 ilikuatanaga na kadhia zifuatazo kisiasa,kiuchumi,kitamadani na kijamii
1~vikwazo vya kiuchumi kutoka kwa wakoloni ambao walikua British ambazo ziliitwa British isolation tactics
Ambazo zilihusisha
-weakining post colonies sea trades
~taking control over american ports ambapo waliona ni.njia sahh kuisolate uchumi wa US
-Intimidating other nations and scare them away from importing goods to colonies
Hizi ni baadhi na nyingne nyingi

SASA WHAT WAS THE US RESPONSE TO THE SITUATION
Kwanza katka kuweka hali sawa The congress walituma wanadiplomasia kwenda ulaya wakiwemp Benjamin Franklin kwenda kutafuta msaada wa kimataifa ili kujikwamua na US baada ya miaka miwili ilipata msaada wa kiuchumi kutoka mataifa ya
France amabaye alikua na mgogoro wa mda mrefu na uingereza over sugar production
Pia msaada mwngne ulitoka mataifa ya
Spain na Nerthland kwa kati ya mwaka 1776-1778

Pili Rais Washington alitumia nafasi ya mgogoro wake kiuchumi na British kuwaondoa katika uendelezaji wa baadhi ya shughuli za kiuchumi na hii ilikua ni.moja kati ya strategy bora kbs kwa rais Washington

NI.KWANINI TAIFA LINAPOTAKA KUJIKOMBOA HUPATA MISUKOSUKO
Kujikomboa humaanisha kujata minyororo ya kinyonyaji toka kwa watawala na hii huwa na athari kubwa kwa wanyonyaji ndio maana taifa lolote linapoanza kuonyesha dalili ya kutoka kifungoni watawala hucharuka na kuanza kufanya hzo
Isolating tactics ili kuwatisha watu
Lkn pia kuzikabili changamoto hzo huitaji uvumilivu mkubwa maana huwa ni kama taifa linapita jando kuelekea better living
Mambo kama haya huwa common katka kufikia uko
-inflation
-unemployment
-poor living standards
N.k
Lakin hukoma baada ya muda fulani

Fikiria
Shipping and sea activities kwa mujibu wa takwim za US by 1777 ilikua ikitengeneza more than 30% ya ajira zote ndan ya US af british wanakuja na vikwazo lukuki katka sekta hyo can u feel how the situation was?

Kwa hyo ndugu zangu tunapokua tukitarajia Mabadiliko katika mfumo ni.lazma psychologically tujiandae kupitia ktk wakat mgumu sana na vikwazo kibao kutoka ktk jumuiya za ndan na nje ya nchi

Next thread takuja na Challenge faced Russia hadi kuujenga uchumi wao

Nkololo
0655763064
 
Back
Top Bottom