Hey guys? Wale wenzangu na mimi na mwenye mtazamo kama wangu nadhani mtakuwa na imani na matumaini kwamba, asilimia kubwa ya wanaume kwa wanawake ambao waliwekeza mioyo yao kwa wapenzi wao pamoja na matumaini makubwa kuwa siku moja wataishi pamoja kama mume na mke lakini haikutokea hivyo, watakubaliana na mimi kwamba wamevunjika moyo sana.
Katka mahusiano yangu ya nyuma especially yaliyovunjika mwaka 2011 December 12 saa 12 mchana baada ya kugundua na kuthibitisha kbs kwa 100% mchumba wangu kutokuwa mwaminifu na kuamua kumpiga chini, iliniuma sana na kunichanganya sna kwa kuwa niliwekeza sna kwake.kila binadam ana falsafa yake ya kuhandle manmbo mbali mbali na hata hawa viumbe, mimi yangu ni dem akicheat hata kama nampenda vipi namwacha coz hakuna umuhim wa kuendelea na mahusiano na mtu unayejua amekusaliti kwa sababu za kipuuzi. Kwa sasa nimepata ofa ya madem 3 wa kuzaa nao. Kwa hali hii naona hakuna maana ya kuoa kwani napata kila kitu na nina dem mmoja pia anasema ananipenda na neshamwambia kwamba mimi sina mpango wa kuoa zaidi ya kuzaa tuu na wanawake. Don't judge ma philosophy kwa wanawake. Hata yule tuliyeachana nae pamoja na kwamba kaolewa lkn anataka pia mtoto kutoka kwangu ona sasa hawa viumbe walivyo wa ajabu, na nilishamwambia siwezi kuzaa nae coz Keshaolewa but ananilazimisha sna kuonana nae. Now I do believe ule msemo kwamba hawa watu ni "kuishi nao kwa akili"(wanawake)
So,wale vijana wenzangu especially wanaume waliotendwa na kuumia zaidi kwa wapenzi wao njooni kwenye kundi la kuzaa tuu na madem na kutunza watoto kwani wanawake wapo wengi mno hata tukioa 5 @1 bado watabaki.
naunga 100% mm 1alipiga kibuti nikaumia sana hadi kufeli baadhi ya masomo chuoni lkn kwa sasa niko poa kuna mwingine kajileta lkn cna hamu na mwanamke tena soo napanga nizae nae mtoto tuu nichukue mtoto yeye atafte mwingine pia imenisababisha nimekuwa katili ktk mapenzi naona hata kuongea nao tena mara kwa mara ni kupoteza mda wako
kijana fanya kazi kwa bidii saidia jamii yako vzr bila kubagua pia jitoe kwa moyo wako wote katka jamii lkn please ucjitoe moyo wako kwa ajili ya mwanamke utakuwa umepotea
unaumwa ww si bure....🙁Na mimi nawachukia wanaume vibaya mno na lazma azma yangu itimie ya kukomesha nyinyi wanaume!
Na kama nikizaa kwa bahati mbaya mtoto hutamshika mpaka unaingia kaburini.
Kuzaa kwa bahati mbaya kukoje....acha kuchekesha....huwezi kumzuia mtoto kuonana na babayeNa mimi nawachukia wanaume vibaya mno na lazma azma yangu itimie ya kukomesha nyinyi wanaume!
Na kama nikizaa kwa bahati mbaya mtoto hutamshika mpaka unaingia kaburini.
Yeyebkasema wanawake....hakuna sababu ya kuanza kuwabaguaKwa iyo ata mama ako ni mshenzi ?
kaka kweli umevunjika moyoHey guys? Wale wenzangu na mimi na mwenye mtazamo kama wangu nadhani mtakuwa na imani na matumaini kwamba, asilimia kubwa ya wanaume kwa wanawake ambao waliwekeza mioyo yao kwa wapenzi wao pamoja na matumaini makubwa kuwa siku moja wataishi pamoja kama mume na mke lakini haikutokea hivyo, watakubaliana na mimi kwamba wamevunjika moyo sana.
Katka mahusiano yangu ya nyuma especially yaliyovunjika mwaka 2011 December 12 saa 12 mchana baada ya kugundua na kuthibitisha kbs kwa 100% mchumba wangu kutokuwa mwaminifu na kuamua kumpiga chini, iliniuma sana na kunichanganya sna kwa kuwa niliwekeza sna kwake.kila binadam ana falsafa yake ya kuhandle manmbo mbali mbali na hata hawa viumbe, mimi yangu ni dem akicheat hata kama nampenda vipi namwacha coz hakuna umuhim wa kuendelea na mahusiano na mtu unayejua amekusaliti kwa sababu za kipuuzi. Kwa sasa nimepata ofa ya madem 3 wa kuzaa nao. Kwa hali hii naona hakuna maana ya kuoa kwani napata kila kitu na nina dem mmoja pia anasema ananipenda na neshamwambia kwamba mimi sina mpango wa kuoa zaidi ya kuzaa tuu na wanawake. Don't judge ma philosophy kwa wanawake. Hata yule tuliyeachana nae pamoja na kwamba kaolewa lkn anataka pia mtoto kutoka kwangu ona sasa hawa viumbe walivyo wa ajabu, na nilishamwambia siwezi kuzaa nae coz Keshaolewa but ananilazimisha sna kuonana nae. Now I do believe ule msemo kwamba hawa watu ni "kuishi nao kwa akili"(wanawake)
So,wale vijana wenzangu especially wanaume waliotendwa na kuumia zaidi kwa wapenzi wao njooni kwenye kundi la kuzaa tuu na madem na kutunza watoto kwani wanawake wapo wengi mno hata tukioa 5 @1 bado watabaki.
lakini dada wakat mwngn kwel mnatia hasiraFyuuu zako, mtatujazia mitoto ya zinaa duniani, usiwapotoshe wenzanko
Na mimi nawachukia wanaume vibaya mno na lazma azma yangu itimie ya kukomesha nyinyi wanaume!
Na kama nikizaa kwa bahati mbaya mtoto hutamshika mpaka unaingia kaburini.
mkuu,yalo nitokea mm ni aibu kusimulia...hao viumbe sitokaa niwaamin katk maisha yang..namuomba Mungu Anipe macho ya kuwatambua.
Wapo wanawake bora eti na wenye sifa stahiki. Asikutende mmoja ukachukia wote
Muombe mungu akupe wa kufanana nae.

don do nothing when you madNi mapema sana kusema hivo. Tusipende kulipiza baya kwa baya
sure brotherPole sana ndugu, when love ends life continue.
Ni jino kwa jino.Ni mapema sana kusema hivo. Tusipende kulipiza baya kwa baya
Mpaka nazaa na wewe na mimi nitakua nataka mtoto pia, ao hakuna cha kukomoa hapo.mi nilidhani adhabu yao ni kuzaa nao tu ili uwakomoe
It seems wanaolalamika huku ni wale waliotendwa, tena bora nyie wanaume mnaumizwa kihisia wanawake wanazalishwa na wanaachwa..mkuu,yalo nitokea mm ni aibu kusimulia...hao viumbe sitokaa niwaamin katk maisha yang..namuomba Mungu Anipe macho ya kuwatambua.
Mmh!! hii sasa ni tatizoNa mimi nawachukia wanaume vibaya mno na lazma azma yangu itimie ya kukomesha nyinyi wanaume!
Na kama nikizaa kwa bahati mbaya mtoto hutamshika mpaka unaingia kaburini.