Halafu eti wanasema television ya taifa! Mi cjui hata hawa mafisadi wanatutaka nini.
Sound tech ni mweupe pe!!Kinachonikera kingine TBC 1 ni habari za biashara pale ambapo maneno ya mtangazaji yanapishana na mdomo wake. Teknolojia ndio iko chini au umakini ndio haupo?
Hapo umenena!!waposahihi mkuu 100% hii ni television ya taifa la mafixadi wa magamba