Napinga.
Maana mashule makubwa yoooteeee uyajuayo ww kwa hapa Tz Yemeni,Almuntazir,Alharamain,Alhikma,Daarul Arqam,Al Hisan,Saint Anne,Saint Marrys,Saint Antonny n.k n.k yanatangaza nafasi za ualimu maredion na kwenye runinga.
Tusidanganyane.

No its the other way round.
Nyie hapa behind the keyboard mko kama wanyama hamna utu mnapenda sana kuona vifo,njaa ,vurugu ,kuzorota kwa uchumi Kenya na mnapenda Kibera sana hadi mnaabudu hicho kitongoji.
Mtanzania yule pekee naweza kuamini ni jamaa moja tu Mhaya aliyejiita Mushubilwa niliishi na yeye.Hao wengine wote ni wa kuotea mbali hata Nyerere mwenyewe alitusi waKenya mara mingi sana.