ndayilagije
JF-Expert Member
- Nov 7, 2016
- 7,492
- 8,295
Sawa,ila nahitaji kujua tu nani aliitoa?siyo mnasemasema tu hapa eti haijawahi kutokea,hi nchi haijawahi kubadilika ni ile ile tu.Kauli hii wanaume wa Dar watapinga hasa wamaeneo ya kinondoni na Magomeni huko kwamba hiyo kauli si ya wanawake pekee.
KosaLyatonga
Mie sijui bana,nimekumbuka tu longolongo za kibongo,na msipopatia hiko kitendawili basi hamzijui siasa za tz.Huo uchumi veepe
Najiuliza kama Binti Mdee angekuwa mwanasiasa wakati ule!sipati picha.Nyerere
AsanteUmepatia mhenga!
ingekuwa shidaNajiuliza kama Binti Mdee angekuwa mwanasiasa wakati ule!sipati picha.
Watoto waliopiga kura mara moja na wasiowahi hata kupiga kura (wako under age) wanadhani eti hili dude lilikuwaga pepo.ingekuwa shida
kwani alikuwa nani jamaa nikumbushege....Kosa
Nyerere.kwani alikuwa nani jamaa nikumbushege....